Native Bible

Psalms 119:157 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Adui wanaonitesa ni wengi, lakini mimi sitaziacha sheria zako.

Psalms 119:157 in English

Psalms 119:157 · Berean Standard Bible

Though my persecutors and foes are many, I have not turned from Your testimonies.

Context

155Wokovu uko mbali na waovu, kwa kuwa hawatafuti maagizo yako. 156Ee Bwana, huruma zako ni kuu, uyahifadhi maisha yangu sawasawa na sheria zako. 157Adui wanaonitesa ni wengi, lakini mimi sitaziacha sheria zako. 158Ninawatazama wasioamini kwa chuki, kwa kuwa hawalitii neno lako. 159Tazama jinsi ninavyopenda mausia yako; Ee Bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na upendo wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.