Native Bible

Psalms 119:158 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninawatazama wasioamini kwa chuki, kwa kuwa hawalitii neno lako.

Psalms 119:158 in English

Psalms 119:158 · Berean Standard Bible

I look on the faithless with loathing because they do not keep Your word.

Context

156Ee Bwana, huruma zako ni kuu, uyahifadhi maisha yangu sawasawa na sheria zako. 157Adui wanaonitesa ni wengi, lakini mimi sitaziacha sheria zako. 158Ninawatazama wasioamini kwa chuki, kwa kuwa hawalitii neno lako. 159Tazama jinsi ninavyopenda mausia yako; Ee Bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na upendo wako. 160Maneno yako yote ni kweli, sheria zako zote za haki ni za milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.