Zaburi 119:160
Psalms 119:160 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maneno yako yote ni kweli, sheria zako zote za haki ni za milele.
Psalms 119:160 in English
Psalms 119:160 · Berean Standard Bible
The entirety of Your word is truth, and all Your righteous judgments endure forever.
Context
158Ninawatazama wasioamini kwa chuki,
kwa kuwa hawalitii neno lako. 159Tazama jinsi ninavyopenda mausia yako;
Ee Bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na upendo wako. 160Maneno yako yote ni kweli,
sheria zako zote za haki ni za milele. 161Watawala wamenitesa bila sababu,
lakini moyo wangu unatetemeka kwa neno lako. 162Nafurahia ahadi zako
kama mtu aliyepata mateka mengi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.