Native Bible

Psalms 119:162 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nafurahia ahadi zako kama mtu aliyepata mateka mengi.

Psalms 119:162 in English

Psalms 119:162 · Berean Standard Bible

I rejoice in Your promise like one who finds great spoil.

Context

160Maneno yako yote ni kweli, sheria zako zote za haki ni za milele. 161Watawala wamenitesa bila sababu, lakini moyo wangu unatetemeka kwa neno lako. 162Nafurahia ahadi zako kama mtu aliyepata mateka mengi. 163Ninachukia na kuchukizwa sana na uongo, lakini napenda sheria yako. 164Ninakusifu mara saba kwa siku, kwa ajili ya sheria zako za haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.