Native Bible

Psalms 119:163 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninachukia na kuchukizwa sana na uongo, lakini napenda sheria yako.

Psalms 119:163 in English

Psalms 119:163 · Berean Standard Bible

I hate and abhor falsehood, but Your law I love.

Context

161Watawala wamenitesa bila sababu, lakini moyo wangu unatetemeka kwa neno lako. 162Nafurahia ahadi zako kama mtu aliyepata mateka mengi. 163Ninachukia na kuchukizwa sana na uongo, lakini napenda sheria yako. 164Ninakusifu mara saba kwa siku, kwa ajili ya sheria zako za haki. 165Wanaopenda sheria yako wana amani tele, wala hakuna kitu kinachoweza kuwakwaza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.