Native Bible

Psalms 119:161 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watawala wamenitesa bila sababu, lakini moyo wangu unatetemeka kwa neno lako.

Psalms 119:161 in English

Psalms 119:161 · Berean Standard Bible

Rulers persecute me without cause, but my heart fears only Your word.

Context

159Tazama jinsi ninavyopenda mausia yako; Ee Bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na upendo wako. 160Maneno yako yote ni kweli, sheria zako zote za haki ni za milele. 161Watawala wamenitesa bila sababu, lakini moyo wangu unatetemeka kwa neno lako. 162Nafurahia ahadi zako kama mtu aliyepata mateka mengi. 163Ninachukia na kuchukizwa sana na uongo, lakini napenda sheria yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.