Zaburi 119:164
Psalms 119:164 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninakusifu mara saba kwa siku, kwa ajili ya sheria zako za haki.
Psalms 119:164 in English
Psalms 119:164 · Berean Standard Bible
Seven times a day I praise You for Your righteous judgments.
Context
162Nafurahia ahadi zako
kama mtu aliyepata mateka mengi. 163Ninachukia na kuchukizwa sana na uongo,
lakini napenda sheria yako. 164Ninakusifu mara saba kwa siku,
kwa ajili ya sheria zako za haki. 165Wanaopenda sheria yako wana amani tele,
wala hakuna kitu kinachoweza kuwakwaza. 166Ee Bwana, ninangojea wokovu wako,
nami ninafuata amri zako,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.