Native Bible

Psalms 119:147 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninaamka asubuhi na mapema na kukuomba msaada; nimeweka tumaini langu katika neno lako.

Psalms 119:147 in English

Psalms 119:147 · Berean Standard Bible

I rise before dawn and cry for help; in Your word I have put my hope.

Context

145Ee Bwana, ninakuita kwa moyo wangu wote, nami nitayatii maagizo yako. 146Ninakuita; niokoe nami nitazishika sheria zako. 147Ninaamka asubuhi na mapema na kukuomba msaada; nimeweka tumaini langu katika neno lako. 148Sikufumba macho yangu usiku kucha, ili niweze kutafakari juu ya ahadi zako. 149Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako, Ee Bwana, uyahifadhi maisha yangu, sawasawa na sheria zako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.