Native Bible

Psalms 105:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Israeli akaingia Misri, Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu.

Psalms 105:23 in English

Psalms 105:23 · Berean Standard Bible

Then Israel entered Egypt; Jacob dwelt in the land of Ham.

Context

21Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo, 22kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo na kuwafundisha wazee wake hekima. 23Kisha Israeli akaingia Misri, Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu. 24Bwana aliwafanya watu wake kuzaana sana, akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao, 25ndiye aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake, wakatenda hila dhidi ya watumishi wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.