Native Bible

Psalms 105:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo,

Psalms 105:21 in English

Psalms 105:21 · Berean Standard Bible

He made him master of his household, ruler over all his substance,

Context

19hadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia, hadi neno la Bwana lilipomthibitisha. 20Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru. 21Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo, 22kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo na kuwafundisha wazee wake hekima. 23Kisha Israeli akaingia Misri, Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.