Native Bible

Psalms 105:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru.

Psalms 105:20 in English

Psalms 105:20 · Berean Standard Bible

The king sent and released him; the ruler of peoples set him free.

Context

18Walichubua miguu yake kwa minyororo, shingo yake ilifungwa kwa chuma, 19hadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia, hadi neno la Bwana lilipomthibitisha. 20Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru. 21Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo, 22kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo na kuwafundisha wazee wake hekima.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.