Zaburi 105:19
Psalms 105:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
hadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia, hadi neno la Bwana lilipomthibitisha.
Psalms 105:19 in English
Psalms 105:19 · Berean Standard Bible
until his prediction came true and the word of the LORD proved him right.
Context
17naye akatuma mtu mbele yao,
Yosefu, aliyeuzwa kama mtumwa. 18Walichubua miguu yake kwa minyororo,
shingo yake ilifungwa kwa chuma, 19hadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia,
hadi neno la Bwana lilipomthibitisha. 20Mfalme alituma watu wakamfungua,
mtawala wa watu alimwachia huru. 21Alimfanya mkuu wa nyumba yake,
mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.