Native Bible

Psalms 105:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walichubua miguu yake kwa minyororo, shingo yake ilifungwa kwa chuma,

Psalms 105:18 in English

Psalms 105:18 · Berean Standard Bible

They bruised his feet with shackles and placed his neck in irons,

Context

16Akaiita njaa juu ya nchi na kuharibu chakula chao chote, 17naye akatuma mtu mbele yao, Yosefu, aliyeuzwa kama mtumwa. 18Walichubua miguu yake kwa minyororo, shingo yake ilifungwa kwa chuma, 19hadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia, hadi neno la Bwana lilipomthibitisha. 20Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.