Native Bible

Psalms 105:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo na kuwafundisha wazee wake hekima.

Psalms 105:22 in English

Psalms 105:22 · Berean Standard Bible

to instruct * his princes as he pleased and teach his elders wisdom.

Context

20Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru. 21Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo, 22kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo na kuwafundisha wazee wake hekima. 23Kisha Israeli akaingia Misri, Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu. 24Bwana aliwafanya watu wake kuzaana sana, akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.