Zaburi 105:24
Psalms 105:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana aliwafanya watu wake kuzaana sana, akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao,
Psalms 105:24 in English
Psalms 105:24 · Berean Standard Bible
And the LORD made His people very fruitful, more numerous than their foes,
Context
22kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo
na kuwafundisha wazee wake hekima. 23Kisha Israeli akaingia Misri,
Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu. 24Bwana aliwafanya watu wake kuzaana sana,
akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao, 25ndiye aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake,
wakatenda hila dhidi ya watumishi wake. 26Akamtuma Mose mtumishi wake,
pamoja na Aroni, aliyemchagua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.