Native Bible

Psalms 105:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ndiye aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake, wakatenda hila dhidi ya watumishi wake.

Psalms 105:25 in English

Psalms 105:25 · Berean Standard Bible

whose hearts He turned to hate His people, to conspire against His servants.

Context

23Kisha Israeli akaingia Misri, Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu. 24Bwana aliwafanya watu wake kuzaana sana, akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao, 25ndiye aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake, wakatenda hila dhidi ya watumishi wake. 26Akamtuma Mose mtumishi wake, pamoja na Aroni, aliyemchagua. 27Walifanya ishara zake za ajabu miongoni mwao, miujiza yake katika nchi ya Hamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.