Native Bible

Psalms 105:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walifanya ishara zake za ajabu miongoni mwao, miujiza yake katika nchi ya Hamu.

Psalms 105:27 in English

Psalms 105:27 · Berean Standard Bible

They performed His miraculous signs among them, and wonders in the land of Ham.

Context

25ndiye aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake, wakatenda hila dhidi ya watumishi wake. 26Akamtuma Mose mtumishi wake, pamoja na Aroni, aliyemchagua. 27Walifanya ishara zake za ajabu miongoni mwao, miujiza yake katika nchi ya Hamu. 28Alituma giza na nchi ikajaa giza, kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake? 29Aligeuza maji yao kuwa damu, ikasababisha samaki wao kufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.