Native Bible

Psalms 105:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alituma giza na nchi ikajaa giza, kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake?

Psalms 105:28 in English

Psalms 105:28 · Berean Standard Bible

He sent darkness, and it became dark— yet they defied His words.*

Context

26Akamtuma Mose mtumishi wake, pamoja na Aroni, aliyemchagua. 27Walifanya ishara zake za ajabu miongoni mwao, miujiza yake katika nchi ya Hamu. 28Alituma giza na nchi ikajaa giza, kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake? 29Aligeuza maji yao kuwa damu, ikasababisha samaki wao kufa. 30Nchi yao ilijaa vyura tele, ambao waliingia hadi kwenye vyumba vya kulala vya watawala wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.