Native Bible

Psalms 105:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nchi yao ilijaa vyura tele, ambao waliingia hadi kwenye vyumba vya kulala vya watawala wao.

Psalms 105:30 in English

Psalms 105:30 · Berean Standard Bible

Their land teemed with frogs, even in their royal chambers.

Context

28Alituma giza na nchi ikajaa giza, kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake? 29Aligeuza maji yao kuwa damu, ikasababisha samaki wao kufa. 30Nchi yao ilijaa vyura tele, ambao waliingia hadi kwenye vyumba vya kulala vya watawala wao. 31Alisema, yakaja makundi ya mainzi, na viroboto katika nchi yao yote. 32Alibadilisha mvua yao ikawa mvua ya mawe, yenye umeme wa radi nchini yao yote,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.