Native Bible

Psalms 105:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alisema, yakaja makundi ya mainzi, na viroboto katika nchi yao yote.

Psalms 105:31 in English

Psalms 105:31 · Berean Standard Bible

He spoke, and insects swarmed— gnats throughout their country.

Context

29Aligeuza maji yao kuwa damu, ikasababisha samaki wao kufa. 30Nchi yao ilijaa vyura tele, ambao waliingia hadi kwenye vyumba vya kulala vya watawala wao. 31Alisema, yakaja makundi ya mainzi, na viroboto katika nchi yao yote. 32Alibadilisha mvua yao ikawa mvua ya mawe, yenye umeme wa radi nchini yao yote, 33akaharibu mizabibu yao na miti ya tini, na akaangamiza miti ya nchi yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.