Zaburi 105:33
Psalms 105:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
akaharibu mizabibu yao na miti ya tini, na akaangamiza miti ya nchi yao.
Psalms 105:33 in English
Psalms 105:33 · Berean Standard Bible
He struck their vines and fig trees and shattered the trees of their country.
Context
31Alisema, yakaja makundi ya mainzi,
na viroboto katika nchi yao yote. 32Alibadilisha mvua yao ikawa mvua ya mawe,
yenye umeme wa radi nchini yao yote, 33akaharibu mizabibu yao na miti ya tini,
na akaangamiza miti ya nchi yao. 34Alisema, nzige wakaja,
tunutu wasio na idadi, 35wakala kila jani katika nchi yao,
wakala mazao ya ardhi yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.