Zaburi 105:34
Psalms 105:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alisema, nzige wakaja, tunutu wasio na idadi,
Psalms 105:34 in English
Psalms 105:34 · Berean Standard Bible
He spoke, and the locusts came— young locusts without number.
Context
32Alibadilisha mvua yao ikawa mvua ya mawe,
yenye umeme wa radi nchini yao yote, 33akaharibu mizabibu yao na miti ya tini,
na akaangamiza miti ya nchi yao. 34Alisema, nzige wakaja,
tunutu wasio na idadi, 35wakala kila jani katika nchi yao,
wakala mazao ya ardhi yao. 36Kisha akawaua wazaliwa wote wa kwanza katika nchi yao,
matunda ya kwanza ya ujana wao wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.