Native Bible

Psalms 105:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha akawaua wazaliwa wote wa kwanza katika nchi yao, matunda ya kwanza ya ujana wao wote.

Psalms 105:36 in English

Psalms 105:36 · Berean Standard Bible

Then He struck all the firstborn in their land, the firstfruits of all their vigor.

Context

34Alisema, nzige wakaja, tunutu wasio na idadi, 35wakala kila jani katika nchi yao, wakala mazao ya ardhi yao. 36Kisha akawaua wazaliwa wote wa kwanza katika nchi yao, matunda ya kwanza ya ujana wao wote. 37Akawatoa Israeli katika nchi wakiwa na fedha na dhahabu nyingi, wala hakuna hata mmoja kutoka kabila zao aliyejikwaa. 38Misri ilifurahi walipoondoka, kwa sababu hofu ya Israeli ilikuwa imewaangukia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.