Native Bible

Psalms 105:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Misri ilifurahi walipoondoka, kwa sababu hofu ya Israeli ilikuwa imewaangukia.

Psalms 105:38 in English

Psalms 105:38 · Berean Standard Bible

Egypt was glad when they departed, for the dread of Israel had fallen on them.

Context

36Kisha akawaua wazaliwa wote wa kwanza katika nchi yao, matunda ya kwanza ya ujana wao wote. 37Akawatoa Israeli katika nchi wakiwa na fedha na dhahabu nyingi, wala hakuna hata mmoja kutoka kabila zao aliyejikwaa. 38Misri ilifurahi walipoondoka, kwa sababu hofu ya Israeli ilikuwa imewaangukia. 39Alitandaza wingu kama kifuniko, na moto kuwamulikia usiku. 40Waliomba, naye akawaletea kware, akawashibisha kwa mkate wa mbinguni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.