Zaburi 105:39
Psalms 105:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alitandaza wingu kama kifuniko, na moto kuwamulikia usiku.
Psalms 105:39 in English
Psalms 105:39 · Berean Standard Bible
He spread a cloud as a covering and a fire to light up the night.
Context
37Akawatoa Israeli katika nchi
wakiwa na fedha na dhahabu nyingi,
wala hakuna hata mmoja
kutoka kabila zao aliyejikwaa. 38Misri ilifurahi walipoondoka,
kwa sababu hofu ya Israeli ilikuwa imewaangukia. 39Alitandaza wingu kama kifuniko,
na moto kuwamulikia usiku. 40Waliomba, naye akawaletea kware,
akawashibisha kwa mkate wa mbinguni. 41Alipasua mwamba, maji yakabubujika,
yakatiririka jangwani kama mto.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.