Native Bible

Psalms 105:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waliomba, naye akawaletea kware, akawashibisha kwa mkate wa mbinguni.

Psalms 105:40 in English

Psalms 105:40 · Berean Standard Bible

They asked, and He brought quail and satisfied them with the bread of heaven.

Context

38Misri ilifurahi walipoondoka, kwa sababu hofu ya Israeli ilikuwa imewaangukia. 39Alitandaza wingu kama kifuniko, na moto kuwamulikia usiku. 40Waliomba, naye akawaletea kware, akawashibisha kwa mkate wa mbinguni. 41Alipasua mwamba, maji yakabubujika, yakatiririka jangwani kama mto. 42Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.