Native Bible

Psalms 105:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake.

Psalms 105:42 in English

Psalms 105:42 · Berean Standard Bible

For He remembered His holy promise to Abraham His servant.

Context

40Waliomba, naye akawaletea kware, akawashibisha kwa mkate wa mbinguni. 41Alipasua mwamba, maji yakabubujika, yakatiririka jangwani kama mto. 42Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake. 43Aliwatoa watu wake kwa furaha, wateule wake kwa kelele za shangwe, 44akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi wa mali wengine walikuwa wameitaabikia:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.