Zaburi 105:44
Psalms 105:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi wa mali wengine walikuwa wameitaabikia:
Psalms 105:44 in English
Psalms 105:44 · Berean Standard Bible
He gave them the lands of the nations, that they might inherit the fruit of others’ labor,
Context
42Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu,
aliyompa Abrahamu mtumishi wake. 43Aliwatoa watu wake kwa furaha,
wateule wake kwa kelele za shangwe, 44akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi
wa mali wengine walikuwa wameitaabikia: 45alifanya haya ili wayashike mausia yake
na kuzitii sheria zake.
Msifuni Bwana.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.