Native Bible

Psalms 105:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

alifanya haya ili wayashike mausia yake na kuzitii sheria zake. Msifuni Bwana.*

Psalms 105:45 in English

Psalms 105:45 · Berean Standard Bible

that they might keep His statutes and obey His laws. Hallelujah!*

Context

43Aliwatoa watu wake kwa furaha, wateule wake kwa kelele za shangwe, 44akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi wa mali wengine walikuwa wameitaabikia: 45alifanya haya ili wayashike mausia yake na kuzitii sheria zake. Msifuni Bwana.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.