Native Bible

Psalms 105:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alipasua mwamba, maji yakabubujika, yakatiririka jangwani kama mto.

Psalms 105:41 in English

Psalms 105:41 · Berean Standard Bible

He opened a rock, and water gushed out; it flowed like a river in the desert.

Context

39Alitandaza wingu kama kifuniko, na moto kuwamulikia usiku. 40Waliomba, naye akawaletea kware, akawashibisha kwa mkate wa mbinguni. 41Alipasua mwamba, maji yakabubujika, yakatiririka jangwani kama mto. 42Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake. 43Aliwatoa watu wake kwa furaha, wateule wake kwa kelele za shangwe,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.