Zaburi 105:29
Psalms 105:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aligeuza maji yao kuwa damu, ikasababisha samaki wao kufa.
Psalms 105:29 in English
Psalms 105:29 · Berean Standard Bible
He turned their waters to blood and caused their fish to die.
Context
27Walifanya ishara zake za ajabu miongoni mwao,
miujiza yake katika nchi ya Hamu. 28Alituma giza na nchi ikajaa giza,
kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake? 29Aligeuza maji yao kuwa damu,
ikasababisha samaki wao kufa. 30Nchi yao ilijaa vyura tele, ambao waliingia
hadi kwenye vyumba vya kulala vya watawala wao. 31Alisema, yakaja makundi ya mainzi,
na viroboto katika nchi yao yote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.