Zaburi 105:26
Psalms 105:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akamtuma Mose mtumishi wake, pamoja na Aroni, aliyemchagua.
Psalms 105:26 in English
Psalms 105:26 · Berean Standard Bible
He sent Moses His servant, and Aaron, whom He had chosen.
Context
24Bwana aliwafanya watu wake kuzaana sana,
akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao, 25ndiye aliigeuza mioyo yao iwachukie watu wake,
wakatenda hila dhidi ya watumishi wake. 26Akamtuma Mose mtumishi wake,
pamoja na Aroni, aliyemchagua. 27Walifanya ishara zake za ajabu miongoni mwao,
miujiza yake katika nchi ya Hamu. 28Alituma giza na nchi ikajaa giza,
kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.