Native Bible

Proverbs 15:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwepesi wa hasira huchochea ugomvi, bali mtu mvumilivu hutuliza ugomvi.

Proverbs 15:18 in English

Proverbs 15:18 · Berean Standard Bible

A hot-tempered man stirs up strife, but he who is slow to anger calms dispute.

Context

16Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Bwana, kuliko mali nyingi pamoja na ghasia. 17Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo kuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na chuki. 18Mtu mwepesi wa hasira huchochea ugomvi, bali mtu mvumilivu hutuliza ugomvi. 19Njia ya mvivu imezibwa na miiba, bali njia ya mwenye haki ni barabara kuu. 20Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, bali mtu mpumbavu humdharau mama yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.