Native Bible

Proverbs 15:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo kuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na chuki.

Proverbs 15:17 in English

Proverbs 15:17 · Berean Standard Bible

Better a dish of vegetables where there is love than a fattened ox with hatred.

Context

15Siku zote za wanaoonewa ni za taabu, bali moyo mchangamfu una karamu ya kudumu. 16Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Bwana, kuliko mali nyingi pamoja na ghasia. 17Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo kuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na chuki. 18Mtu mwepesi wa hasira huchochea ugomvi, bali mtu mvumilivu hutuliza ugomvi. 19Njia ya mvivu imezibwa na miiba, bali njia ya mwenye haki ni barabara kuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.