Ayubu 15:3
Job 15:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, aweza kubishana juu ya maneno yasiyofaa, kwa hotuba zisizo na maana?
Job 15:3 in English
Job 15:3 · Berean Standard Bible
Should he argue with useless words or speeches that serve no purpose?
Context
1Kisha Elifazi Mtemani akajibu: 2“Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu,
au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki? 3Je, aweza kubishana juu ya maneno yasiyofaa,
kwa hotuba zisizo na maana? 4Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu
na kuzuia ibada mbele za Mungu. 5Dhambi yako inasukuma kinywa chako,
nawe umechagua ulimi wa hila.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.