Native Bible

Job 15:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu.

Job 15:4 in English

Job 15:4 · Berean Standard Bible

But you even undermine the fear of God and hinder meditation before Him.

Context

2“Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu, au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki? 3Je, aweza kubishana juu ya maneno yasiyofaa, kwa hotuba zisizo na maana? 4Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu. 5Dhambi yako inasukuma kinywa chako, nawe umechagua ulimi wa hila. 6Kinywa chako mwenyewe kinakuhukumu, wala si changu; midomo yako mwenyewe inashuhudia dhidi yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.