Native Bible

Job 15:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu, au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki?

Job 15:2 in English

Job 15:2 · Berean Standard Bible

“Does a wise man answer with empty counsel or fill his belly with the hot east wind?

Context

1Kisha Elifazi Mtemani akajibu: 2“Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu, au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki? 3Je, aweza kubishana juu ya maneno yasiyofaa, kwa hotuba zisizo na maana? 4Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.