Native Bible

Job 15:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Elifazi Mtemani akajibu:

Job 15:1 in English

Job 15:1 · Berean Standard Bible

Then Eliphaz the Temanite replied:

Context

1Kisha Elifazi Mtemani akajibu: 2“Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu, au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki? 3Je, aweza kubishana juu ya maneno yasiyofaa, kwa hotuba zisizo na maana?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.