Native Bible

Job 15:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kinywa chako mwenyewe kinakuhukumu, wala si changu; midomo yako mwenyewe inashuhudia dhidi yako.

Job 15:6 in English

Job 15:6 · Berean Standard Bible

Your own mouth, not mine, condemns you; your own lips testify against you.

Context

4Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu na kuzuia ibada mbele za Mungu. 5Dhambi yako inasukuma kinywa chako, nawe umechagua ulimi wa hila. 6Kinywa chako mwenyewe kinakuhukumu, wala si changu; midomo yako mwenyewe inashuhudia dhidi yako. 7“Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? Ulizaliwa kabla ya vilima? 8Je, wewe husikiliza mashauri ya siri ya Mungu? Je, wewe unaizuia hekima iwe yako mwenyewe?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.