Ayubu 15:5
Job 15:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Dhambi yako inasukuma kinywa chako, nawe umechagua ulimi wa hila.
Job 15:5 in English
Job 15:5 · Berean Standard Bible
For your iniquity instructs your mouth, and you choose the language of the crafty.
Context
3Je, aweza kubishana juu ya maneno yasiyofaa,
kwa hotuba zisizo na maana? 4Lakini unadhoofisha hata uchaji wa Mungu
na kuzuia ibada mbele za Mungu. 5Dhambi yako inasukuma kinywa chako,
nawe umechagua ulimi wa hila. 6Kinywa chako mwenyewe kinakuhukumu, wala si changu;
midomo yako mwenyewe inashuhudia dhidi yako. 7“Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa?
Ulizaliwa kabla ya vilima?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.