Ayubu 15:7
Job 15:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? Ulizaliwa kabla ya vilima?
Job 15:7 in English
Job 15:7 · Berean Standard Bible
Were you the first man ever born? Were you brought forth before the hills?
Context
5Dhambi yako inasukuma kinywa chako,
nawe umechagua ulimi wa hila. 6Kinywa chako mwenyewe kinakuhukumu, wala si changu;
midomo yako mwenyewe inashuhudia dhidi yako. 7“Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa?
Ulizaliwa kabla ya vilima? 8Je, wewe husikiliza mashauri ya siri ya Mungu?
Je, wewe unaizuia hekima iwe yako mwenyewe? 9Wewe unajua kitu gani tusichokijua sisi?
Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.