Native Bible

Job 15:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe unajua kitu gani tusichokijua sisi? Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi?

Job 15:9 in English

Job 15:9 · Berean Standard Bible

What do you know that we do not? What do you understand that is not clear to us?

Context

7“Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? Ulizaliwa kabla ya vilima? 8Je, wewe husikiliza mashauri ya siri ya Mungu? Je, wewe unaizuia hekima iwe yako mwenyewe? 9Wewe unajua kitu gani tusichokijua sisi? Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi? 10Wale wenye mvi na wazee wako upande wetu, watu ambao ni wazee hata kuliko baba yako. 11Je, faraja za Mungu hazikutoshi, au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.