Native Bible

Job 15:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, faraja za Mungu hazikutoshi, au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu?

Job 15:11 in English

Job 15:11 · Berean Standard Bible

Are the consolations of God not enough for you, even words spoken gently to you?

Context

9Wewe unajua kitu gani tusichokijua sisi? Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi? 10Wale wenye mvi na wazee wako upande wetu, watu ambao ni wazee hata kuliko baba yako. 11Je, faraja za Mungu hazikutoshi, au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu? 12Kwa nini moyo wako unakudanganya, na kwa nini macho yako yanangʼaa, 13ili kwamba upate kutoa hasira yako dhidi ya Mungu, na kumwaga maneno kama hayo kutoka kinywani mwako?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.