Ayubu 15:13
Job 15:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ili kwamba upate kutoa hasira yako dhidi ya Mungu, na kumwaga maneno kama hayo kutoka kinywani mwako?
Job 15:13 in English
Job 15:13 · Berean Standard Bible
as you turn your spirit against God and pour such words from your mouth?
Context
11Je, faraja za Mungu hazikutoshi,
au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu? 12Kwa nini moyo wako unakudanganya,
na kwa nini macho yako yanangʼaa, 13ili kwamba upate kutoa hasira yako dhidi ya Mungu,
na kumwaga maneno kama hayo kutoka kinywani mwako? 14“Mwanadamu ni kitu gani, hata aweze kuwa safi,
au yeye aliyezaliwa na mwanamke, hata aweze kuwa mwadilifu? 15Kama Mungu hawaamini watakatifu wake,
kama hata mbingu zenyewe si safi machoni pake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.