Native Bible

Job 15:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mwanadamu ni kitu gani, hata aweze kuwa safi, au yeye aliyezaliwa na mwanamke, hata aweze kuwa mwadilifu?

Job 15:14 in English

Job 15:14 · Berean Standard Bible

What is man, that he should be pure, or one born of woman, that he should be righteous?

Context

12Kwa nini moyo wako unakudanganya, na kwa nini macho yako yanangʼaa, 13ili kwamba upate kutoa hasira yako dhidi ya Mungu, na kumwaga maneno kama hayo kutoka kinywani mwako? 14“Mwanadamu ni kitu gani, hata aweze kuwa safi, au yeye aliyezaliwa na mwanamke, hata aweze kuwa mwadilifu? 15Kama Mungu hawaamini watakatifu wake, kama hata mbingu zenyewe si safi machoni pake, 16sembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu, ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.