Native Bible

Job 15:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

sembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu, ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji!

Job 15:16 in English

Job 15:16 · Berean Standard Bible

how much less man, who is vile and corrupt, who drinks injustice like water?

Context

14“Mwanadamu ni kitu gani, hata aweze kuwa safi, au yeye aliyezaliwa na mwanamke, hata aweze kuwa mwadilifu? 15Kama Mungu hawaamini watakatifu wake, kama hata mbingu zenyewe si safi machoni pake, 16sembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu, ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji! 17“Nisikilize mimi nami nitakueleza, acha nikuambie yale niliyoyaona, 18ambayo watu wenye hekima wameyanena, bila kuficha lolote walilopokea toka kwa baba zao

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.