Native Bible

Job 15:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ambayo watu wenye hekima wameyanena, bila kuficha lolote walilopokea toka kwa baba zao

Job 15:18 in English

Job 15:18 · Berean Standard Bible

what was declared by wise men and was not concealed from their fathers,

Context

16sembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu, ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji! 17“Nisikilize mimi nami nitakueleza, acha nikuambie yale niliyoyaona, 18ambayo watu wenye hekima wameyanena, bila kuficha lolote walilopokea toka kwa baba zao 19(wakati ambao wao peke yao ndio walipewa nchi, hakuna mgeni aliyepita miongoni mwao): 20Mtu mwovu siku zake zote hupata mateso, miaka yote aliwekewa mkorofi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.