Ayubu 15:20
Job 15:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu mwovu siku zake zote hupata mateso, miaka yote aliwekewa mkorofi.
Job 15:20 in English
Job 15:20 · Berean Standard Bible
A wicked man writhes in pain all his days; only a few years are reserved for the ruthless.
Context
18ambayo watu wenye hekima wameyanena,
bila kuficha lolote walilopokea toka kwa baba zao 19(wakati ambao wao peke yao ndio walipewa nchi,
hakuna mgeni aliyepita miongoni mwao): 20Mtu mwovu siku zake zote hupata mateso,
miaka yote aliwekewa mkorofi. 21Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake;
katika kufanikiwa kwake, wanyangʼanyi humshambulia. 22Hukata tamaa kuokoka gizani;
amewekwa kwa ajili ya upanga.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.