Native Bible

Job 15:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

(wakati ambao wao peke yao ndio walipewa nchi, hakuna mgeni aliyepita miongoni mwao):

Job 15:19 in English

Job 15:19 · Berean Standard Bible

to whom alone the land was given when no foreigner passed among them.

Context

17“Nisikilize mimi nami nitakueleza, acha nikuambie yale niliyoyaona, 18ambayo watu wenye hekima wameyanena, bila kuficha lolote walilopokea toka kwa baba zao 19(wakati ambao wao peke yao ndio walipewa nchi, hakuna mgeni aliyepita miongoni mwao): 20Mtu mwovu siku zake zote hupata mateso, miaka yote aliwekewa mkorofi. 21Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake; katika kufanikiwa kwake, wanyangʼanyi humshambulia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.