Ayubu 15:22
Job 15:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hukata tamaa kuokoka gizani; amewekwa kwa ajili ya upanga.
Job 15:22 in English
Job 15:22 · Berean Standard Bible
He despairs of his return from darkness; he is marked for the sword.
Context
20Mtu mwovu siku zake zote hupata mateso,
miaka yote aliwekewa mkorofi. 21Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake;
katika kufanikiwa kwake, wanyangʼanyi humshambulia. 22Hukata tamaa kuokoka gizani;
amewekwa kwa ajili ya upanga. 23Hutangatanga, akitafuta chakula;
anajua kwamba siku ya giza iko karibu. 24Taabu na maumivu makuu vinamtia hofu;
humshinda kama mfalme aliye tayari kwa vita,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.